Kilampung-Api

Kilampung-Api (pia Kiapi) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walampung kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilampung-Api imehesabiwa kuwa watu 827,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilampung-Api iko katika kundi la Kilampung.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by razib.in